maswali na majibu ya chozi la heri Maswali ya Dondoo... maswali ya dondoo 1 “Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa hapo ulipo sicho kitovu chako?” maswali ya dondoo 2 “... liandikwalo ndilo liwalo? Since when has man ever changed his destiny” maswali ya dondoo 3 “Nakumbuka asubuhi ya pili baada ya mtafaruku kuanza. Nilikuwa sebuleni na wanangu tukitazama runinga. maswali ya dondoo 4 “Nitapigana kwa jino na ukucha kuulinda utu wangu.” maswali ya dondoo 5 “Kuukata mkono niliostahili kuubusu yalinifika ya kunifika” maswali ya dondoo 6 “Alikumbuka jinsi rafiki yake… alivyofishwa kwa njia hii. Akili yake ilimtambia kisa chenyewe kana kwamba inataka kumwonya maswali ya dondoo 7 “…haifai kucheza na uwezo wa vijana, waoni kama nanga. Huwezi kuzamisha nakuiongea merikebu.” maswali ya dondoo 8 “Haiwezekani! Hili haliwekazi! Itakuwa kama kile kisa cha yule kiongozi wa kiimla wa kike” maswali ya dondoo 9 Alijiona kama mfa maji ambaye anakabiliwa na mtutumo wa mawimbi ya misiba, mmoja baada ya mwingine. maswali ya dondoo 10 “Haiwezekani! Hili haliwekazi! Itakuwa kama kile kisa cha yule kiongozi wa kiimla wa kike” maswali ya dondoo 11 “…liandikwalo ndilo liwalo? Since when has man ever changed his destiny?” maswali ya dondoo 12 “Auntie Sauna alishikwa na polisi " maswali ya dondoo 13 ‘Huyu ambaye mama alimwona kuwa gae, kumbe sasa ndiye chombo cha kunivusha bahari hii ya dhiki?’ maswali ya dondoo 14 “Nitapigana kwa jino na ukucha kuulinda utu wangu.” maswali ya dondoo 15 “…Nimeonja shubiri ya kuwa mtegemezi kihali na mali.lakini katika yote hayo, nimejifunzamengi…” maswali ya dondoo 16 “… wino wa Mungu haufutiki…” Maswali ya Insha... maswali ya Insha 1 a)"Siasa mbaya maisha mabaya.” Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea riwaya ya Chozi la Heri maswali ya insha 2 Eleza jinsi maudhui ya ufisadi yalivyoshughulikiwa katika riwaya ya Chozi la Heri. maswali ya insha 3 Madhila anuwai yanayowazonga wahusika wengi katika riwaya ya Chozi La Heri yanafungamanishwa na hiari ya maamuzi yao. Jadili maswali ya insha 4 Haki za watoto hazitiliwi maanani katika jamii nyingi za kiafrika. Eleza ukweli wa kauli hii kwa kurejelea Riwaya ya chozi la heri (Alama 20) maswali ya Insha 5 a) Fafanua namna mbinu ya majazi ilivyotumiwa katika riwaya. b) Jadili maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii ukirejelea riwaya ya Chozi la Heri maswali ya insha 6 Baada ya dhiki faraja. Onyesha vile ukweli wa methali hii unavyodhihirika kwenye riwaya maswali ya insha 7 Fafanua ufaafu wa anwani ‘Chozi la Heri’ maswali ya insha 8 “Riwaya ya Chozi la Heri inaakisi uozo uliomo katika Jamii nyingi barani Afrika” Thibitisha kauli hii kwa kurenjerea Riwaya maswali ya Insha 9 Mwanamke ametwezwa katika kiwango sawa na namna alivyotukuzwa. Thibitisha ukweli wa madai haya kwa kurejelea riwaya ya Chozi la Heri. maswali ya insha 10 Eleza jinsi maudhui ya ufisadi yalivyoshughulikiwa katika riwaya ya Chozi la Heri. maswali ya insha 11 a) Kwa kurejele riwaya ya choczi la heri, jadili nafasi ya vijana katika jamii b) Jadili umuhimu wa mashirika ya misaada kwa kurelea riwaya ya Chozi la Heri maswali ya insha 12 Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi